XIV

Source 📝

Kutoka XIV, kamusi elezo huru
XIV:Babel
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-3 This user is: able——to contribute with an advanced level of English.
Mtumiaji huyu anatokea Kenya.
Mtumiaji huyu anaishi Nairobi.
Mtumiaji huyu anatumia muda wake mwingi kuhariri XIV.
Mtumiaji huyu ni Mwanachama wa
XIV.
@ Mtumiaji huyu anaweza kupatikana kwa njia ya email.
Leo ni tarehe 13 Julai 2024.
Mtumiaji huyu ana furaha.
:-]
Mtumiaji huyu ni mstaarabu.
Mtumia huyu anapenda masanduku ya watumiaji.
Wiki-N Mtumiaji huyu ni mhariri wa Kiswahili fasaha katika XIV.

Jina langu ni Neville Tirimba na mimi ni Mkenya. Napenda fasihi, kutazama filamu mbalimbali (isipokuwa filamu za kutisha) na kupiga picha. Mimi pia hupenda kuyaandika makala mbalimbali kuhusu maswala ya kijamii. Ninaamini kuwa mpango wa XIV wa kuyatafsiri makala utasaidia kuikuza lugha ya Kiswahili vilivyo kwa njia isiyoweza kukadirika kwa sasa.

Text is available under the: Creative Commons Attribution-ShareAlike License. Additional terms may apply.